Contact Us / Contáctenos / اتصل بنا / Hubungi Kami / Wasiliana nasi

Use the form on the right to contact us.

Utilice el formulario a la derecha en contacto con nosotros.

استخدام النموذج على الحق في الاتصال بنا.

Gunakan form di sebelah kanan untuk menghubungi kami.

Kutumia fomu ya haki kuwasiliana nasi.

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

KAZI ZA SANAA

musisian3WEB.jpg

 

Tumealika wasanii kutoka duniani kote kutengeneza mwitikio wa ubunifu kwa matokeo ya utafiti kutoka kwenye miradii hii. 

Mwitikio haya ni katika ya mfumo wa

  • Mashairina mashairi ya filamu
  • Nyimbo na muziki
  • Filamu fupi
  • Sanaa namwingiliano wa kidigitali
  • Uchoraji, uchoraji kutumia rangi na uchoraji kwa ukuta
  • Nguo na piga chapa

Musanyiko kamili inaweza patikana kwa ukurasa huu.

Zile ziko kwa lugha ya Kiswahili ziko hapa chini.

Baadhi zinapatikana pia katika lugha za Kihispania, Kiarabu na Kihasa Indonesia.


Film: Kubwa kuliko upendo

Kubwa kuliko upendo (saa 04:36) Ni mchanganyo wa filamu za vyombo vya habari ilitengeneswa na Alejandra Jimenez.

Filamu hii inaongozwa na maneno ya mwanamke mpiganiaji haki za kibinadamu kutoka nchi ya mexico anayepigania haki za wanawake na kutokuwepo kwa kusisitiza,kazi hii imepangwa katika mashairi mawili ya vitambulishona na Juliana Mensah, The Phone (simu)na  Greater than Love(kubwa kulko mapenzi)


Filamu: Dust on Paper (vumbi kwenye karatasi)

Dust on Paper (vumbi kwenye karatasi)

 Vumbi kwenye karatasi (dakika :04:00) ni filamu iliyotengeneswa na Emilie Flower kulingana na maneno ya mlinzi wa haki za kibinadamu anayetetea haki za mashoga kutoka nchini Colombia, Filamu hii imepangwa katika shairi la maneno na Juliana Mensah.Shairi hili linadhihirisha bayana uzoefu wa kuishi na ukandamizaji.

(Tazama hapa toleo lenye majina madogo ya kispania)

Kwa kutengenesa filamu:Human rights defenders (watetezi wa haki za binadamu) dakika 06:40)na Emilie Flower ,Mtetezi wa haki za binadamu na mwanasheria Johana Rocha Gomez hutafakarijuu ya matarajio ya watu kuhusu “ wapiganiaji wa haki za binadamu”

 

 

 

Kwenye sauti za kutetea haki za binadamu (dakika 08:25), Emilie Flower ana tafakari kuhusu uzoefu wa kihisia unapotengenesa filamu kuhusu haki za binadamu walio hatarini kwenye mchoro ulioboreshwa na Cellist Gaia Blandina.


Poetry FilmMashairi filamu

 Mashairi filamu: 'AffectIve Necessities' (upendo wa Mahitaji) na 'To Die for My Work' (Kufa kwa ajili ya Kazi Yangu)

 

Roberta Letizia, Kenther Ramos, Xinyi Chen, Michael Rolph, Martha Chaparanganda, na Tsun Fai Jason So.

Filamu mashairi haya yanatokana na  mashairi iliyoundwa na Juliana Mensah kutoka nakala ya mahojiano kutoka mradi 'kujilinda kutoka kwa Hatari, kujikinga na kupokea Usaidizi'.

Nakala: Affective Necessities Mahitaji ufanisi

Nakala: To Die for My Work 'Kufa kwa ajili ya Kazi Yangu'


Nyimbo za Usawa

Rapasa CD-Face.jpg

Written in Luo and Kiswahili, and using parables and proverbs (ngero / ngeche in Luo), these songs reflect upon and celebrate the journey of defenders.

Imeandikwa katika Kiluo na Kiswahili, na kutumia mifano na mithali (ngero / ngeche katika Luo), hizi nyimbo kutafakari juu ya na kusherehekea safari ya watetezi.

Nyimbo katika Luo (imetafsiriwa na Kiingereza na Kiswahili)

Linaundwa na kupangiliwa na John Otieno Oduor Rapasa

 


Mural: Uprising Mural:Upigano

 

Upigano na Steve Kyenze na msanii mdogo wa Sanaa ya nyota  .2017,Kibera ,Kenya

Kazi hii inalenga upigano dhidi ya usalama-vile wananchi wa kawaida wanavyoinuka kwa Imani kwa majibu dhidi ya ukatili dhidi ya binadamu.

Usanii huu uliongozwa na shairi :Safe insecure (salama salama) ilotungwa na Juliana Mensah kutoka kwa mahojiano ya mwanamke mkenya anayepigania haki za binadamu kuhusu mauaji ya ziada ya mahakama na unyanyasaji wa kijinsia.


Blanketi kwa watetezi wa haki za binadamu

"A cobija is a blanket, and cobijar means to give shelter, to offer refuge, to protect someone. It’s a verb, an action. That’s the reason I like to make blankets from fabric scraps: making a blanket has a very symbolic meaning to me. And that’s why I decided to make one as a response to the project Navigating Risk, Managing Security, and Receiving Support at the University of York. It also has a double meaning: human rights defenders protect us, but we also need to protect, shelter and take care of them. We need to show the work they do as well as the risks they face and the way they deal with them."

Cobija linamaanisha blanketi, na cobijar lamanisha kupeana makao, kupeana kimbilio,kulinda mtu.Ni kitenzi,yani hatua. Ndio sababu napenda kutengenesa blanketi kutoka kwa nguo za kitambaa: kuunda blanketi ina maana ya mfano kwangu. Na ndio maana niliamua kuweka jitihada kwa mradi navigating risk (kwenda katika hatari) kusimamia salama na kupokea usaidizi katika chuo cha juu cha York. pia ina maana ya pili:kepeana makao na kutulinda, Lakini nasi pia tuwapatie makao na kuwalinda. Nivyema tuoneshe kazi wanayo fanya na hatari inayotokana na kazi hiyo na njia mwafaka za kushughulikia shida hizo.

Rosa Borrá

In this essay, Rosa tells us why she made a blanket for human rights defenders and the meaning behind the fabrics, prints, and embroidery.

Katika insha hii mwandishi Rosa anatweleza kwa nini aliamua kutengenesa blanketi na kuwapa wale wanaopigania haki za wano tetea haki za binadamu na maana fiche katika vitambaa, maagizo, na michoro.


Inks on Perspex: Divine Inks on Perspex: Mungu

 

“Mungu”

Ikishirikiana na padre Alejandro Solalinde

Na Ruben Ochoa ,2017

Ukubwa wa (60 kwa 10 cms )

Kwa kitambulisho cha shairi Divine (Mungu) na Juliana Mensah

Katika shairi hili, Reuben anaelezea maana ya “Mungu”


Drawing: BackstabbeKuchora: Backstabbed (kurudi Nyuma)

Backstabbed

Kilio cha haki,
Kilio cha mnyong’e
Machozi ya jamii,
Machozi ya wajane,
Machozi ya watoto,
Kilio kasikika
Haki twalia,
Siku njema – itakuja lini?

 

A cry of justice,
A cry of the weak,
Tears of the community,
Tears of the widows,
Tears of the children,
Cries are heard,
We cry for justice,
Waiting for a new dawn

 

Nancy Muigei
Kenya, 2017

“Backstabbed “inaelesea hadithi ya mpiganiaji wa haki za wale wanaotetea haki za binadamu ambaye mvulana wake aliuwawa ili kumzuia asipiganie haki.

Na Ndereva   Mutua ,2017

Graphite pencil on Ivory paper(penseli ya graffiti kwenye karatasi ya pembe)

Kuchora: The Witness (Shahidi)

The Witness

'The Witness' depicts a human rights defender witnessing his friend being killed while he anticipates his own death.

by Ndereva Mutua, 2017
Oil on canvas

“The Witness (Shahidi)” inadhihirisha vyema mpiganiaji wa haki za binadamuakishuhudia kifo cha rafiki wake huku akitarajia kifo chake

Na Ndereva Mutua, 2017

Oil on canvas

To see more of Ndereva's work click here.


Poetry Shairi

By Caroline Mita Khakula

By Caroline Mita Khakula

 

Filamu ya Ngoma :vis –a –vis (tembelea)

Katika filami hii(ya dakika 08:44) mtayarishaji wa filamu Simona Manni na mchezaji Christie Barnes indhihirisha tafakari za wanaopigania haki za binadamu walio kwa hatarikatika mradi huu wa viumbe vyema

Malenga Nancy Muigei, anayeishi mjini Nairobi, inajibu kwa matokeo ya utafiti wa mradi kwa shairi lenya maudhui ya ustawi wa kazi na hatari, utambulisho na usalama, na maoni ya haki za wanaopigania haki za binadamu. mashairi haya yanapatikana hapa.


 Filamu ya Ngoma: Vis-a-vis (tembelea)

 

Katika filami hii (ya dakika 08:44) mtayarishaji wa filamu Simona Manni na mchezaji Christie Barnes indhihirisha tafakari za wanaopigania haki za binadamu walio kwa hatarikatika mradi huu wa viumbe vyema.

 

 


 Michiro ya digitali: We Are Fragmented (Sisi ni Vipande)

I

Katika kazi yake ya kuhusisha michoro ya digitali, Amira Hanafi anatafsiri kina cha hisia inayojitokesa kwa watetezi walio hatarini  kupitia  mradi wa mifumo ya kuona, kwa kugawa hisia zinasijitokesa.

 

Bonyesha kwenye picha utazame.

Utunzi wa musiki:sauti yetu

 

 


 Utunzi wa musiki: The Sound of Us (Katika suti yetu)

 

Katika suti yetu (dakika 05:48) way Dwi Arifianto anatafakari maana na umuhimu wa uvumilivu kule Indonesia .

Msukumo wa Way ulitokana na matokeo ya sasa na vile vile kutokana na matokeo ya utafiti wa mradi wake inayojumuisha shairi la Juliana Mensah: mahali pa ibada ya muda mfupi linalo simulia maneno ya mwanaharakati wa haki za binadamu wa Indonesia anayeshughulikia uhuru wa dini.

Katika mtungo huu, Way anajaribu kuongezea na kuelezea hali na taaharuki kupitia nyimbo na sauti.kwa kurudia kumbuka na chombo katika sehemu ya kwanza ma ya tatu ya kazi hii, anajaribu kufafanulia kuwa tunaweza badili hali.

Katika kazi hii fupi, Wayhu anafafanulia mchakato wa ubunifu


Ni sababu zipi zinazokufanya uwe na hali ya kutokua na Amani/Amani?

 

Katika kujifunza kwetu ,tunawauliza watetezi”ni sababu zipi zinazowafanya wawe kwenye hali ya kutokua na Amani”na  nizipi zinazowafanya wawe na Amani?”

Deena Mohammed, anaonyesha baadhi ya majibu kwa maswali haya ya wateteziwa haki  walio kwenye hatari nchini Egypt.

Unaweza yatazana kupitia hivi viungo: English na Arabic

Pia waweza kupakua kwenye PDF hapa:


 Filamu: Room at Region(X)

 

Room at Region(X) (dakika 12:05) ni filamu ya kujaribiwa ya Nada Hassan.Alifutiwa na shairi lililotungwa na Juliana Mensah (mahitaji muhimu, kukatika, salama pasipo na Amani), filamu hii ina guzia maudhui matatu ya muhimu: kutoweka kutekelezwa,kutengwa na uchovu.Katika filamu hii tunajiweka kwenye mawazo ya mwanaharakati wa haki wa kike.

Katika mbio xa mawazo na hasira kali,katika zungumzo la kipekee anatoa hizia za uchovu na hali ya kushindwa .anagundua upya maana mchanaganyo wa hofu na ujasiri,uslama na kutokua na usalama,mapenzi na upweke.

 

Digital Web based Project: Indigenous jurisdiction/ Asili ya mamlaka

Juan Franco ni msaani wa kuona kutoka nchini Colombia .Ametoa kazi hii ya usanii kutokana na usoefu wake na wanharakati wa haki za kibinadamu wanao shughulikia haki za wana asili nchini Colombia .Ametumia maneno ya Hilamo Mestizo na Lucy Chamaro.

Kazi hii pia inaweza patikana hapa


Verbatim PoetryMashairi ya maneno

Juliana Mensah.jpg

Wasanii wengi katika mradi huu wametoa mvuto wao kutoka kwa mashairi ya maneno yaliyotungwa na Juliana Mensah kutokana na nakala na maandishi ya mahojiano na watetezi wa haki walio kwenye hatari kwenye mradi wake .

Mashairi haya yote yanapatikana hapa:

 

Colombia

Dust on Paper
The Co-optation of the Word
The Indigenous Jurisdiction

Mexico

Affective Necessities
Greater than Love
Irruptions
The Phone
To Die for My Work
WHRD

Kenya

Another Identity
Safe Insecure

Egypt

The Price of Choices

Indonesia

A Temporary Place of Worship

Multiple Countries

Divine
Safety Instructions for Women Human Rights Defenders